Posted By Posted On

MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA UPO NAMNA HII

 MSIMAMO wa Ligi Kuu Bara ulivyo kwa sasa ikiwa ni mzunguko wa tatu umeanza kutimua vumbi kabla ya leo mechi nyingine kuendelea kwa timu kusaka pointi tatu muhimu.Mbeya City bao wanajenga ushkaji na nafasi ya 18 baada ya kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 mbele ya Azam FC, Uwanja wa Sokoine na Azam wanakamata usukani kwa sasa namna hii:-,

 


MSIMAMO wa Ligi Kuu Bara ulivyo kwa sasa ikiwa ni mzunguko wa tatu umeanza kutimua vumbi kabla ya leo mechi nyingine kuendelea kwa timu kusaka pointi tatu muhimu.


Mbeya City bao wanajenga ushkaji na nafasi ya 18 baada ya kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 mbele ya Azam FC, Uwanja wa Sokoine na Azam wanakamata usukani kwa sasa namna hii:-


,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *