KIKOSI CHA YANGA KIPO NJIANI KUREJEA DAR

Msomaji wa Yanganews Blog:Baada ya kupata alama tatu muhimu dhidi ya Kagera Sugar, kikosi cha Yanga SC kipo njiani kurejea jijini Dar es Salaam ili kuwahi maandalizi ya mchezo unaofuata dhidi ya Mtibwa Sugar .

Yanga na Mtibwa zitavaana siku ya Jumapili tarehe 27 September 2020 uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.

Kocha mkuu wa Yanga SC mserbia Zlatco amesema ameanza kuiona timu yake ikianza kuimarika kimfumo tofauti na mechi mbili za awali hivyo ana imani mchezo wa jumapili ijayo dhidi ya Mtibwa timu yake itakuwa vyema zaidi kwakuwa kuna muda mzuri wa kujiandaa kuicheza mechi hiyo ugenini.

,,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *