UKUTA YANGA WALETA MATUMAINI, KUNYAKUA UBINGWA LIGI KUU

Msomaji wa Yanganews Blog:Kwa usajili uliofanywa na Yanga msimu huu, imeonekana kuwa na ukuta bora kulingana na wachezaji waliongezeka na wale walikuwepo msimu uliopita.

Katika ukuta wa Yanga kwasasa unaoongozwa na Lamine Moro, uwepo wa Bakari Mwamnyeto, Juma Makapu na Abdallah Shaibu ‘Ninja’, ni wazi yoyote anaweza kusimama.

Mashabiki wa Yanga wamekuwa wakijivunia kikosi hicho kipya lakini wakiamini msimu huu hakutakuwa na ile hali ya kufungwa mabao mengi.

Msimu uliopita, Yanga iliweza kuruhusu mabao mengi, kitendo ambacho ilisababisha kushindwa kunyakua ubingwa ligi kuu.

,,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *