WANAYANGA TUSIKILIZANE.

WanaYangaa epukeni kununua jezi kwa bei ghali, ambapo wengi wafanyabiashara wanauza jezi hadi elfu70.

Ndio, jezi ziliingia chache hivyo kuwanufaisha wafanyabiashara kuchukua zote kisha kuanza kuuza kwa bei ghali.

Mkurugenzi GSM, Hersi Said amewaomba radhi WanaYanga kwa kushusha mzigo mdogo.

Msomaji wa Yanganews Blog:Hata hivyo Hersi amewahakikishia mashabiki wa Yanga, mzigo kamili utatinga Jumatatu hii.

Jezi za Yanga zitapatikana mikoani kote, pia utaweza kununua kupitia official app ya Yanga, utaletewa hapo hapo ulipo.

,,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *