Posted By Posted On

Yanga, Simba Na Azam Zaokolewa Na Wageni

Wakati ligi kuu Tanzania Bara inaendelea Tanzania Sports.com tunaendelea kuangalia takwimu mbalimbali kutoka timu zilizopo katika ligi hii huku Yanga,,

Wakati ligi kuu Tanzania Bara inaendelea Tanzania Sports.com tunaendelea kuangalia takwimu mbalimbali kutoka timu zilizopo katika ligi hii huku Yanga, Simba na Azam zikiendelea kuvuna alama tatu muhimu katika hatua ya tatu. Wachezaji wa kigeni Yanga, Simba na Azam wazibeba timu zao kupata alama tatu muhimu. Ugumu wa kuifikia rekodi ya raundi ya kwanza kufunga magoli 14 inakuwa ngumu zikiwa…

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *