MUGALU AENDELEZA MOTO WA MABAO SIMBA SC YAICHAPA AFRICAN LYON 2-0 MECHI YA KIRAFIKI CHAMAZI
Wachezaji wa Simba SC wakipongezana kwa ushindi wa 2-0 dhidi ya African Lyon, mabao ya Chris Mugalu dakika ya 47 na Charles Ilamfya dakika ya 54 katika mchezo wa kirafiki jioni ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ,
Wachezaji wa Simba SC wakipongezana kwa ushindi wa 2-0 dhidi ya African Lyon, mabao ya Chris Mugalu dakika ya 47 na Charles Ilamfya dakika ya 54 katika mchezo wa kirafiki jioni ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam
,
Comments (0)