Posted By Posted On

Goli La Sabiyanka Halifanani Na Morrison

Ikiwa kila mmoja yupo ‘Busy’ kuangalia rekodi mbalimbali za ligi pamoja na magoli huku wengine wakijiwajibisha kutafuta ‘Angle’ ya habari,

Ikiwa kila mmoja yupo ‘Busy’ kuangalia rekodi mbalimbali za ligi pamoja na magoli huku wengine wakijiwajibisha kutafuta ‘Angle’ ya habari juu ya mikikimiki ya michuano hii. Tutakuwa wachoyo wa fadhila kumuandika nyota wa Tanzania Prisons kufunga goli la kwanza kabisa la ufunguzi wa Uwanja wa Mkapa. Ieleweke hivi, tangu jina la uwanja huo libadilike kutoka uwanja wa Taifa hadi kuitwa uwanja wa…

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *