Posted By Posted On

MANCHESTER UNTED YACHAPA LUTON TOWN 3-0 CARABAO CUP

Mabao ya Juan Mata kwa penalti dakika ya 44, Marcus Rashford dakika ya 88, Mason Greenwood dakika ya 90 na ushe yameipa Manchester United ushindi wa 3-0 dhidi ya Luton Town Uwanja wa Kenilworth Road katika mchezo wa Raundi ya Tatu Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup PICHA ZAIDI GONGA HAPA,


Mabao ya Juan Mata kwa penalti dakika ya 44, Marcus Rashford dakika ya 88, Mason Greenwood dakika ya 90 na ushe yameipa Manchester United ushindi wa 3-0 dhidi ya Luton Town Uwanja wa Kenilworth Road 
katika mchezo wa Raundi ya Tatu Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *