Posted By Posted On

Samatta Aandaliwe Kisaikolojia

Ni muda ambao Mbwana Samatta anahitaji watu wa saikolojia haraka iwezekanavyo ili asitoke mchezoni.Kuhama kwa mchezaji kutoka timu moja kwenda,

Ni muda ambao Mbwana Samatta anahitaji watu wa saikolojia haraka iwezekanavyo ili asitoke mchezoni. Kuhama kwa mchezaji kutoka timu moja kwenda timu nyingine sio kitu cha ajabu sana lakini inatokana na namna unavyotoka ndani ya klabu hiyo. Kelele nyingi hivi sasa zipo kwa mshambuliaji na nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta kuwa anatarajiwa kuondoka ndani ya Aston Villa.

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *