Posted By Posted On

KAI HAVERTZ APIGA HAT TRICK CHELSEA YASHINDA 6-0 CARABAO CUP

NAYO Chelsea ikaichapa Barnsley 6-0, mchezaji mpya aliyesajiliwa kwa Paun Milioni 89, Kai Havertz akifunga mabao matatu peke yake dakika ya 28, 55 na 65, mabao mengine yakifungwa na Tammy Abraham dakika ya 19, Ross Barkley dakika ya 49 na Olivier Giroud dakika ya 83 Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London PICHA ZAIDI GONGA HAPA,


NAYO Chelsea ikaichapa Barnsley 6-0, mchezaji mpya aliyesajiliwa kwa Paun Milioni 89, Kai Havertz akifunga mabao matatu peke yake dakika ya 28, 55 na 65, mabao mengine yakifungwa na Tammy Abraham dakika ya 19, Ross Barkley dakika ya 49 na Olivier Giroud dakika ya 83 Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London
 PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *