Posted By Posted On

KIKOSI CHA AZAM FC KILIVYOWASILI SUMBAWANGA LEO KWA AJILI YA MCHEZO DHIDI YA TANZANIA PRISONS JUMAMOSI

Kiungo Mzimbabwe wa Azam FC, Never Tigere baada ya kuwasili Sumbawanga, mkoani Rukwa, kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, wahamiaji Tanzania Prisons ya Mbeya Jumamosi Uwanja wa Nelson Mandela 

Beki Mzimbabwe wa Azam FC, Bruce Kangwa baada ya Sumbawanga leo 

Kiungo Mnyarwanda wa Azam FC, Bruce Kangwa baada ya Sumbawanga leo

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *