Posted By Posted On

TFF YAINGIA MKATABA NA MKANDARASI KWA AJILI YA KUJENGA VITUO VYA MAENDELEO YA SOKA DAR NA TANGA


RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzana (TFF), Wallace Karia (katikati) akiwa na Mkandarasi Yi Xiaobo wa kampuni ya Group Six International wakionyesha mikataba ya ujenzi wa vituo vya mpira wa miguu vya Dar es Salaam na Tanga uliosainiwa leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa TFF, Athumani Nyamlani 

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *