Posted By Posted On

‘Ligi ya wahenga’ kupindua utawala Juventus?

Msimu mpya wa Ligi Kuu Italia maarufu kama Serie A umeanza wikiendi iliyopita. Fiorentina walikumbana na Torino, kisha Hallas Verona wakamenyana na AS Roma. Timu hizo ndizo zilifungua dimba, lakini zipo habari nyingi za kuzungumzia katika Ligi hiyo hadi kukamilika kwake. Ni nini mabingwa watetezi Juventus watafanya msimu huu? Je Cristiano Ronaldo na Zlatan Ibrahimovic wataendelea kucheza kwa…

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *