Posted By Posted On

SAMATTA HAKUWEPO HATA BENCHI TENA NA JANA ASTON VILLA IKIICHAPA BRISTOL CITY 3-0 KOMBE LA LIGI ENGLAND


MSHAMBULAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta jana ameendelea kukosekana hata benchi kwenye kikosi cha Aston Villa kikiibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Bristol City katika mchezo wa Raundi ya Tatu Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup Uwanja wa Ashton Gate, mabao ya Anwar El Ghazi na washambuliaji wapya, Bertrand Traore na Ollie Watkins 
PICHA ZIAID GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *