Posted By Posted On

Wachezaji wa Tanzania watafute ‘Connection’

Neno ‘Connection’ ni maarufu sana katika mitandao ya kijamii Tanzania. maelfu ya watumiaji wanafahamu nini kinachojadiliwa mara baada ya neno hilo kutajwa kokote, iwe Facebook, Instagram, WhatsApp, Snap Chart na kwingineko. ‘Connection’ mara nyingi linahusisha skendo inayomhusu staa wa Bongofleva, Bongo movie au raia wa kawaida kutoka taasisi tofauti. Hasa hasa ni skendo za kimapenzi. hata hivyo…

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *