Posted By Posted On

BAYERN MUNCH YAFUMULIWA 4-1 NA HOFFENHEIM BUNDESLIGA


Wachezaji wa Hoffenheim wakipongezana kwa ushindi wa 4-1 dhidi ya mabingwa watetezi, Bayern Munich kwenye mchezo wa Bundesliga usiku wa Jumapili Uwanja wa Rhein-Neckar-Arena. Mabao ya Hoffenheim yamefungwa na Ermin Bicakcic dakika ya 16, Mu’nas Dabbur dakika ya 16 Andrej Kramaric dakika ya 16 77 na 90,wakati la Bayern Munich limefungwa na Joshua Kimmich dakika ya 36 PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *