Chama la Samatta kukiwasha leo

Lisaa limoja baada ya mchezo kati ya Konyaspor dhidi ya Besiktas kumalizika huko Turk Telekom Arena shughuli itahamia kwa Mbwana Samatta ambaye atakuwa ugenini na chama lake jipya la Fenerbahce kucheza dhidi ya Galatasaray leo saa moja usiku.

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *