Hitimana: Mechi sita tu mtatuelewa

ACHANA na ushindi walioupata Namungo juzi huko Jijini Mbeya, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Hitimana Thiery amesema bado hajaridhishwa na kiwango cha nyota wake na kwamba anafikiri baada ya michezo sita ndio mambo yatakaa sawa.

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *