Posted By Posted On

JAMIE VARDY APIGA HAT TRICK LEICESTER YAITANDIKA MAN CITY 5-2


Mshambuliaji Jamie Vardy akishangilia baada ya kupiga hat-trick kwa mabao yake ya dakika za 37 kwa penalti, 54 na 58 kwa penalti katika ushindi wa  Leicester City wa5-2 dhidi ya wenyeji, Manchester City usiku wa Jumapili kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya Leicester City yamefungwa na James Maddison dakika ya 77 na Youri Tielemans dakika ya 88 kwa penalti wakati ya Manchester City yamefungwa na Riyad Mahrez dakika ya nne na Nathan Ake dakika ya 84
 PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *