MAN UNITED YASHINDA KIBABE

LONDON, ENGLAND. WANALALA na viatu. Ndicho unachoweza kusema kuhusu mastaa waliokuwapo ndani ya uwanja wakati Manchester United iliposhinda kwa mbinde dhidi ya Brighton kupata ushindi wao wa kwanza kwenye Ligi Kuu England msimu huu.

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *