Posted By Posted On

Samatta Alitakiwa Awe Mbinafsi

Samatta alitakiwa awe mbinafsi ili atengeneze jina lake licha ya kuwekwa katika nafasi isiyokidhi mahitaji yake. Ni ngumu kuwa mchoyo katika timu yupo Jack Grealish ambaye yeye ndiye mchoyo namba moja, lakini ilitakiwa naye afuate nyayo zake. Hii inaitwa kujilipua, angefanya hivyo huenda ingesaidia kuona anakaa na mpira na ikiwezekana kufunga magoli. Mbwana akiwa kwenye ubora wake Naamani kwa muda…

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *