Samatta: Baba nitarudi EPL, usijali

HAIKUWA safari rahisi kwa supastaa Mbwana Samatta kucheza timu kubwa kama TP Mazembe (2011/16), K.R.C Genk ya Ubelgiji(2016/20), Aston Villa ya Ligi Kuu ya England (2020) na sasa ametua Uturuki katika klabu ya Fenerbahce.

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *