Yanga: Tunaanzia hapa

YANGA wametamba kwamba mechi ya leo dhidi Mtibwa itakuwa na mabadiliko makubwa kiuchezaji na wanaanza ukurasa mpya huku lengo pia likiwa kufuta uteja mbele vijana hao wa Manungu.

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *