Posted By Posted On

EPL: Ilikuwa wikiendi ya aina yake

Ligi Kuu ya England (EPL) imeanza kushika kasi na kwa wikiendi iliyopita yapo kadhaa ya kuzungumzia, yenye alama chanya na hasi. La kwanza ni Manchester United ambao licha ya kushinda dhidi ya Brighton, wachezaji wake walionekana wazi kwamba miili yao ilikuwa imechoka. Kama kawaida, kocha wao, Ole Gunnar Solskjaer anasema kwamba wanajijenga na watakuwa sawa. Solskjaer anasema kwamba wanahitaji…

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *