Posted By Posted On

Kisa corona Msuva ashuka thamani

THAMANI ya mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva anayeichezea Difaa El Jadida ya Morocco kwa sasa imeonekana kushuka kutoka Sh.2.4 bilioni hadi Sh.1.5 bilioni kwa mujibu wa mtandao wa Transfermarkt.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *