Posted By Posted On

Kumbe Sancho sio dawa Man U

MANCHESTER,ENGLAND. STRAIKA wa zamani wa timu ya Taifa ya England na Manchester United, Andy Cole amesema Man United haiwezi kuwa bora kwa kumsajili Jadon Sancho pekee na amesisitiza klabu hiyo itahitaji kusubiri kwa muda mrefu ili kurudi kwenye kiwango ilichowahi kuonyesha hapo awali.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *