Posted By Posted On

RONALDO AFUNGA MAWILI JUVENTUS YALAZIMISHA SARE NA ROMA 2-2


Mshambuliaji Mreno, Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifunga mabao yote Juventus ikilazimisha sare ya 2-2 na wenyeji, AS Roma katika mchezo wa Serie A usiku wa jana Uwanja wa Olimpico, Roma. Ronaldo alifunga dakika ya 44 kwa penalti na 69 wakati ya Roma yalifungwa na Jordan Veretout kwa penalti pia dakika ya 31 na 45
 PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *