Posted By Posted On

Staa Sancho amwagia sifa Rashford

DORTMUND UJERUMANI. JADON Sancho, staa anayewindwa na Manchester United, amemmwagia sifa mchezaji mwenzake wa timu ya Taifa ya England anayeichezea miamba hiyo ya Old Trafford, Marcus Rashford kwamba ni mmoja kati ya wachezaji wenye uwezo mkubwa aliowahi kucheza nao.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *