Posted By Posted On

TAIFA STARS KUCHEZA NA BURUNDI MECHI YA KIRAFIKI OKTOBA 11 UWANJA WA BENJAMIN MKAPA

TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ itacheza mechi ya kirafiki dhidi ya Burundi katika kalenda ya FIFA Oktoba 11 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Maana yake mechi za Raundi ya Sita za Ligi Kuu ya Tanzania Bara zilizopangwa kuchezwa kati ya Oktoba 9 na 12 zinaweza kuahirishwa kupisha mchezo huo. 


,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *