Posted By Posted On

TAYLOR AMMALIZA KHONGSONG KWA KO NDANI YA SEKUNDE 161


Josh Taylor akiwa ameshika mikanda ya WBA na IBF baada ya kummaliza Apinun Khongsong kwa Knockout (KO) ndani ya sekunde 161 katika pambano la uzito wa welter jana ukumbi wa York Hall,
York Hall, Bethnal Green nchini Scotland na kutetea mataji yake hayo PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *