Posted By Posted On

Thiago Alcântara: Mtaalamu wa pasi

Tegemeo la kuwabakisha Liverpool juu HATIMAYE Liverpool wameongeza mchezaji muhimu mno, na huenda akaonesha tofauti kubwa na wengine kwenye timu za Ligi Kuu ya England (EPL). Huyu ni kiungo mahiri kutoka Hispania na mtaalamu wa pasi, Thiago Alcantara ambaye kuna kila dalili kwamba atawahakikishia Liverpool kubaki matawi ya juu, wakiwa ni mabingwa watetezi. Kocha Jurgen Klopp aliamua kumnunua…

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *