Posted By Posted On

YANGA: TUONGEZE SAUTIII!

MASHABIKI wa Yanga jana walikuwa na furaha na kuwatania wenzao wa Simba wakiwauliza “wawaongezee sauti?” baada ya chama lao kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar ambao waliwalazimisha Wekundu wa Msimbazi sare ya 1-1 wiki mbili zilizopita.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *