Posted By Posted On

Yanga yataka uchunguzi mashabiki waliowafanyia vurugu Simba

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kuchunguza kwa kina ili kuwabaini mashabiki wao waliowafanyia fujo mashabiki wa watani zao, Simba, katika mchezo wa jana Septemba 27, 2020 dhidi ya Mtibwa Sugar.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *