Posted By Posted On

Zahera wala hana presha

MKURUGENZI wa Ufundi wa Gwambina FC, Mwinyi Zahera amesema mbali ya kushindwa kupata pointi katika michezo minne ya kwanza ya Ligi Kuu Bara, bado hana wasiwasi katika timu hiyo kwa vile anajua ugeni wa vijana wao katika ligi utaondoka na watafanya kweli.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *