Posted By Posted On

Carlinhos hafanyi mambo mengi..

Carlinhos amekuwa mchezaji maarufu Yanga. Ni kiungo ambaye anaonekana kucheza kimahesabu zaidi. Nyota huyo amecheza mechi mbili za Ligi Kuu kati ya nne, haonekani kuwa na kipaji kikubwa kama Feisal Salum au Haruna Niyonzima. Carlinhos ni mchezaji wa kipekee kwenye Ligi Kuu si kwa sababu ya ubora bali namna majukumu yanayofanyiwa kazi. Katika mechi mbili za Ligi Kuu Tanzania Bara ametengeneza mabao…

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *