Posted By Posted On

“Kwa upande wangu nadhani miongoni mwa michezo yetu minne iliyopita, dhidi ya Simba ndiyo mchezo pekee ambao unaweza kusema tuli…

“Kwa upande wangu nadhani miongoni mwa michezo yetu minne iliyopita, dhidi ya Simba ndiyo mchezo pekee ambao unaweza kusema tulistahili kupoteza kwa sababu tulizidiwa lakini kwenye michezo mitatu iliyopita tulicheza vizuri lakini hatukuwa na bahati ya kupata mabao”
– Mwinyi Zahera, Mkurugenzi wa Benchi la Ufundi, Gwambina FC.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *