Posted By Posted On

LIVERPOOL YATOKA NYUMA NA KUICHAPA ARSENAL 3-1 ANFIELD


Mshambuliaji Sadio Mane akishangila baada ya kuifungia Liverpool bao la kwanza dakika ya 28 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Arsenal kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Anfield. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Andy Robertson dakika ya 34 na Diogo Jota dakika ya 88, baada ya Arsenal kutangulia kwa bao la Alexandre Lacazette dakika ya 25
 PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *