Mshambuliaji Chipukizi wa Barcelona Ansu Fati jana hakupewa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mechi kwa sababu umri wake haumruhusu kukab…

Mshambuliaji Chipukizi wa Barcelona Ansu Fati jana hakupewa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mechi kwa sababu umri wake haumruhusu kukabidhiwa tuzo inayodhaminiwa na kampuni ya Bia.

Fati mwenye umri wa miaka 17 alifunga mabao mawili ndani ya dakika 20 za mwanzo na pia kusababisha penati iliyofungwa na Lionel Messi katika ushindi wa mabao 4-0 ilioupata Barcelona dhidi ya Villarreal jana usiku.

Jodi Alba alipewa tuzo ya Mchezaji Bora.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *