Picha hii imebeba ujumbe wa Mahusiano bora kazini, Pichani ni kocha msaidizi wa klabu ya Simba, Seleman Matola na viungo wa was…

Picha hii imebeba ujumbe wa Mahusiano bora kazini,

Pichani ni kocha msaidizi wa klabu ya Simba, Seleman Matola na viungo wa washambuliaji wa Simba Ibrahim Ajibu, Clatous Chama na Francis Kahata, ukiwaangalia ni Kama wote ni wachezaji, unaweza ukadhani Matola bado anacheza soka.

Lakini Kama ukimuangalia vizuri Matola, muonekano wake umefanana na beki wa Simba Paschal Sergio Wawa unaweza ukahisi hata umri ni Kama wanaendana lakini lakini Matola amemzidi Wawa miaka 8, Wawa ana miaka 34 wakati Matola ana miaka 42,

Sema Matola aliwahi kutundika daluga, ilitakiwa awe bado anakinukisha,

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *