Posted By Posted On

Repost Mohamed Dewji Wanasimba endeleeni kupendana: nawaomba kwa heshima na taadhima tuonyeshe ukomavu wa upendo, mpira iwe cha…

Repost Mohamed Dewji

Wanasimba endeleeni kupendana: nawaomba kwa heshima na taadhima tuonyeshe ukomavu wa upendo, mpira iwe chachu ya kutuunganisha na kutuleta pamoja.

Tunawaomba mashabiki wetu wasichukue hatua zozote za kulipiza kisasi wala wasifanye fujo ya aina yoyote dhidi ya mtu yoyote. Sisi kama klabu, kama ilivyo kwa Watanzania wote, tunao wajibu wa ulinzi, amani na utulivu wa nchi yetu na umoja, upendo, na mshikamano miongoni mwa wananchi wa Tanzania.

Tusingependa kabisa ushabiki wa soka uwe chanzo cha chuki, mifarakano na uvunjifu wa amani katika jamii. #MpiraNiUmoja #NguvuMoja 🦁

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *