Posted By Posted On

Repost@Simba_Tanzania Klabu ya Simba, kwa mara nyingine, inasikitishwa na inakemea vikali kitendo cha baadhi ya mashabiki wa ti…

Repost@Simba_Tanzania

Klabu ya Simba, kwa mara nyingine, inasikitishwa na inakemea vikali kitendo cha baadhi ya mashabiki wa timu ya Yanga kuwapiga mashabiki wa Simba waliohudhuria mchezo kati ya Yanga na Mtibwa uliofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri, Morogoro, siku ya tarehe 27 Septemba 2020.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *