Taarifa kutoka Yanga. Uongozi wa Yanga umesikitishwa na kulaani kitendo kisicho cha kiuungwana cha kuwapiga na kuwafanyia vurug…

Taarifa kutoka Yanga.

Uongozi wa Yanga umesikitishwa na kulaani kitendo kisicho cha kiuungwana cha kuwapiga na kuwafanyia vurugu mashabiki wa Simba waliofika kwenye uwanja wa Jamhuri jana tarehe 27/09/2020 kushuhudia Mchezo dhidi ya Mtibwa.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *