Posted By Posted On

“Uwanja wa Jamhuri Morogoro ni mbovu, hauna hadhi kabisa ya kuchezea mechi za Ligi Kuu. Mpira hautulii, kila ukitaka kujipanga u…

“Uwanja wa Jamhuri Morogoro ni mbovu, hauna hadhi kabisa ya kuchezea mechi za Ligi Kuu. Mpira hautulii, kila ukitaka kujipanga unakuta wapinzani wameshafika eneo hilo, uwanja uliniudhi sana” – Tuisila Kisinda.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *