Yanga haijabadili utamaduni, ni muda tu kwao
Dar es Saalam. Mshambuliaji wa zamani wa Yanga na mchambuzi, Ally Mayay amesema tatizo la Yanga ni muda tu kuwa na timu nzuri, akisisitiza utamaduni wa soka la Yanga la kutumia mawinga bado haujabadilika.,Read More
Comments (0)