Posted By Posted On

🗣️ “Ninafuraha mchana wa leo (jana) ninapenda kutangaza kuwa nineongeza mkataba wangu (Yanga). Ninafuraha na ninawashukuru viong…

🗣️ “Ninafuraha mchana wa leo (jana) ninapenda kutangaza kuwa nineongeza mkataba wangu (Yanga). Ninafuraha na ninawashukuru viongozi na mashabiki kwa kuniamini na kubaki kwenye timu”

“Ninapenda kuwashukuru mashabiki kwa upendo wao na kuendelea kuiunga mkono timu yao, kwa sababu wanapokuwa na furaha na sisi pia tunafurahi”

“Tunahitaji wao waendelee kutuunga mkono, hawatakiwi kukata tamaa juu yetu, na sisi tutahakikisha wawe na firaha muda wote na kuwapatia kile wanachohitaji”

Lamine Moro
“Nahitaji mashabiki wakija uwanjani wasigombane kwa sababu mpira wa miguu sio vita, mpira ni upendo kitu tunachohitaji kwenye soka la Tanzania. Tunahitaji kupendana”

@ Lamine Moro nahodha wa klabu ya Ypung Africans sports club.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *