Posted By Posted On

AZAM FC WAKIJIFUA KWA BIDII KUJIANDAA NA MCHEZO DHIDI YA KAGERA SUGAR JUMAPILI CHAMAZI

Kiungo Awesu Awesu akimtoka beki Mzimbabwe, Bruce Kangwa katika mazoezi ya timu hiyo leo kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar Jumapili Uwanja wa Azam Complex, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam

Kipa David Kissu akiokoa hatari langoni wakati wa mazoezi ya Azam FC kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar Jumapili 
  

Wachezaji wa Azam FC wakijifua leo kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar Jumapili Uwanja wa Azam Complex, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *