Posted By Posted On

Engineer Hersi Said amekanusha taarifa kuwa klabu hiyo inampango wa kumtimua kocha wake Zlatko Krmpotic na iko kwenye mazungumzo…

Engineer Hersi Said amekanusha taarifa kuwa klabu hiyo inampango wa kumtimua kocha wake Zlatko Krmpotic na iko kwenye mazungumzo na kocha wa Zamani wa Augsburg & Kaizer Chiefs.

– Engineer Hersi amesema habari hizo ni uongo uliotengenezwa ili kuwatoa mchezoni, amesisitiza taarifa zote kuhusu klabu zinatolewa na klabu na si mtu mwingine.

@ Efm radio

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *