Posted By Posted On

Kissu amtega Ndayiragije Stars

KIPA David Kissu wa Azam Fc ameanza Ligi Kuu akiwa na msimu mzuri na ni kama amemtega Kocha wa Taifa Stars, Etienne Ndayiragije kwenye kikosi kitakachotajwa Oktoba 2 kuikabili Burundi kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliopo kwenye kalenda ya Fifa.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *