Posted By Posted On

Mabe.. Mabe.. Mabe.. Maberaa… (1949-2020)

KATIKA moja ya nyimbo kali za Bendi ya Msondo Ngoma kwenye miaka ya hivi karibuni ni Ajali. Huu ni utunzi wa marehemu TX Moshi William uliotamba mwaka 2016/2017 na mpaka sasa haujachuja. Achana na mistari mikali inayosisimua na ujumbe wa TX na sauti za kina Maalim Gurumo, Maina, Hussein Jumbe, Karama Regesu na Romario au mbwembwe za Ally Rashid.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *