Posted By Posted On

– Mwandishi wa habari za michezo Saleh Ally usiku wa kuamkia Leo alisema mashabiki wa Yanga waliomtukana yeye hatawajibu kwa ma…

– Mwandishi wa habari za michezo Saleh Ally usiku wa kuamkia Leo alisema mashabiki wa Yanga waliomtukana yeye hatawajibu kwa matusi

– Amesema ameanza na mashabiki (2) wa Yanga Akili 5000 na mwenziea amewashitaki na wamewekwa ndani.

Akili 5000 ni huyu kulia pichani ni shabiki maarufu wa Yanga, huyu ndiye aliyetengeneza kiti cha kumbebea Injinia Hersi Said kutoka uwanja wa ndege wa kimataifa Mwl Julius K Nyerere wakati wa usajili, Akili alimwambia Salehe Ally akiendelea kuichafua Yanga atamuwekea jiko la gesi kichwani kisha aliwashe 😃
Credit-Tom cruz

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *